Pin Song

Kolabo ya Joh Makini na Davido kutoka Hivi karibuni, Davido ayaandika haya.

Kolabo ya Joh Makini na Davido kutoka Hivi karibuni, Davido ayaandika haya. Hitmaker wa ngoma ya 'waya' anaetokea kwenye kundi la weusi, msanii Joh Makini sasa yuko mbioni kuitimiza adhma yake ya kufanya kolabo na msanii wa kutoka pande za Nigeria. Kama utakuwa ni mpekuzi mzuri wa mitandao ya kijamii tayari utakuwa umeweza kukutana na post ya Davido akiashiria ukamilifu wa ngoma hiyo.

"Back to work !! On set 📽 shoot @johmakinitz ft Davido ..... TZ 🇹🇿 x NAIJA 🇳🇬 !!"

Ameandika Daivo


Kuwa Karibu na Application yako ya DJsingle boy uwe wakwanza kuipakuwa itakapo Toka BONYEZA HAPA KUIPAKUWA PLAYSTORE