Pin Song

Afande Sele alishindwa kufanya muziki kwa kiingereza – One Incredible

Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, One Incredible amedai kuwa msanii Afande Sele ameshindwa kufanya muziki kwa kiingereza.
One ameeongea hayo leo wakati wa mahojiano katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio amesema kuwa ” Afande Sele yeye ndiye aliyeshindwa kufanya muziki kwa kiingereza, ila mimi naweza kufanya muziki huo kama nataka kwenda Internation
Pia msanii huyo hakusita kuwatolea mfano msanii Ali Kiba kuwa anafanya muziki kimataifa.