Pin Song

Baada ya Sugu, Professor Jay, Peter Msechu naye kugombea Ubunge 2020

Baada ya Sugu, Professor Jay, Peter Msechu naye kugombea Ubunge 2020

Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Joseph Haule ‘Professor Jay’ na Vicky Kamata kwa kuwataja wachache ni miongoni mwa mastaa wa muziki ambao wameamua kuhamishia makali yao kwenye siasa ambapo sasa wote ni Wabunge lakini wapo wasanii wengine wenye nia hiyo?
Ayo TV na millardayo.com zimempata mmoja wa mastaa wa Bongofleva Peter Msechu ambaye hakusita kuweka wazi nia yake ya kutaka kugombea Ubunge Kigomakwenye Uchaguzi Mkuu 2020…nini hasa kilichomsukuma kufikiria Ubunge?
Anafafanua kwenye VIDEO hapa chini ambayo unaweza kuitazama kwa kubonyeza PLAY…
na djjsingle boy